๐ Urafiki, Dar Es Salaam
Upande huu wa pili palianza kama mzaha lakini kwa sasa mabasi mengi ya kwenda mikoa mbalimbali (ikiwemo Njombe, Shinyanga, Geita, Kagera, Dodoma, Ruvuma, Mbeya, Mwanza, n.k) huanzia safari hapa.
Kwa mipango yako ya safari maeneo ya Shekilango na Urafiki yanaweza kuwa suluhisho la uhakika katika kukupa chaguo la usafiri utakaokufaa.
https://t.co/i9wJxwph6m
#TBBUlipoTupo