@scherargei Sponsor this sponsor that... Hamuelewi kuwa Sifuna sponsor wake ni Mkenya ambaye mmekanyagia chini kama kuku wa kuchinjwa but slowly mnaelewa si kitambo
@ouma_neko Kalonzo hata umuuze kama ice cream hauziki fikisha reporti kuwa ground imeenda nafasi imebaki ni number 2 na Kuna vile pia ni kama anaezakosa hiyo pia