Ila hizi dini za wabongo bana kwa hiyo kuna dini zinachukia kabisa TEC kuandaa misa kuwakumbuka wenzetu walioliwa kikatili 29 Oct. Na tena hao viongozi wa dini bado wanajiita watu wa Haki na wanampenda Mungu sio matako Yao kabisa😆
@hamzaofisho@Big0047 Yesu Wangu!
Hii dunia inaenda wapi??? 💔
This is very sad & heartbreaking kwa kwel
May God rest his soul in heaven & may bring comfort & peace to his family — Amen.
Nimechungulia kule jikoni na majibu ni haya…
Barua ni sawa na ule muamamala wa “Songesha”
Wakala wa Songesha alikuwa na haraka hadi kukosea muandiko ushindwe kufanana na wa mhusika.
All in all it’s a “Ndugai style” nafikiri mmeona mmoja ameshasema “umejiwahi” inamaana ilikuwa “awahiwe” na kesho wamesema sijui wanataka kadi ya gari?
Nafatilia kama ni kadi ya gari kweli au kadi ya chama…
Sema humu moshi mkali hadi unanifanya nashindwa kuona vizuri
Katika kipindi nilichokuwa CCM, nilipata nafasi ya kufanya kazi kwa karibu na Dk. Emmanuel Nchimbi. Kwa uzoefu wangu, ni mmoja wa viongozi waadilifu, wazalendo na wenye kuheshimu falsafa ya Mwalimu Nyerere. Simtambui kama mwizi wala fisadi; nimemwona kama mtu anayelipenda taifa lake. Ninasema haya kwa sababu siasa za ukombozi hazipaswi kujengwa juu ya chuki wala kukataa ukweli kuhusu watu kwa sababu tu wako upande tofauti.
Lakini uadilifu wa mtu mmoja hauwezi kutumika kuhalalisha kasoro za mfumo mzima. Changamoto ya Tanzania si ukosefu wa watu wazuri ndani ya vyama; ni kujenga taasisi ambazo zinawaruhusu watu wazuri kutawala kwa misingi ya haki, na kuwazuia watu wabaya kutumia madaraka vibaya. Taifa haliokolewi kwa kutegemea wema wa viongozi pekee linaokolewa kwa Katiba na taasisi zinazoufanya uadilifu kuwa lazima, si hiari.”
🗣️Hawa vijana mnaosema wakae ndani, hawana ndani wewe ndio una ndani sababu umezariwa umeona nyumba, baba & mama, .. hawa vijana wanatoka kwenda kupambana ili wawe na ndani, wawe na mahali ambapo panaeleweka kukaa.