@TMnyama4_ Hii wewe ndio umejua leo. Yaani mtu atumie miaka 5 kutengeneza strategy bado apoteze ela zake nyingi akijifunza alafu wewe kwa vi-dollar vyako $100 akufundishe tu. Maisha hayajawahi kuwa hivyo
@ChineseEmbTZ@fumbokhanJr Nyinyi Wachina @ChineseEmbTZ kwanini makampuni yenu hapa Tanzania mnawalipa wafanyakazi wazawa mshahara mdogo ukilinganisha ninyi mnafaidika zaidi na sisi mnatutesa kwenye nchi yetu?