Naonyesha upendo wangu kwenu kwa hii zawadi nzuri ya #sioni Mi ft babasillah_ Iko youtube sasa na kama ilivyo kawaida saport zenu hua zinanguvu ukiposti kwako unaipa nguvu kazi yangu na… https://t.co/p0TCow4432
Baada ya kutangaza naacha mziki kwa muda mashabiki wengi mlinifata DM nakunitaka nisiache mziki uku mkinitolea mifano mingi nami nime wasikia nakuanzia sasa nitafanya mziki na shule na… https://t.co/ROh3WdDDem
Ziwafikie wale mnao nichukulia poa kwa maana ata maandiko yanasema huwezi kufurahisha wote ata ufanyeje ata yesu alipendwa. Na wengi ila sio wote.... globaltvonline @TzSdango@babasillah_… https://t.co/q3tokzGhjM
Wenye mioyo ya chuki tutawaona tu awawezi ku like Wala ku comment nawaki comment wana tukana bila kujali umri wangu mungu anawaona nawapenda wore😘😘😘😘
@TzSdango babasillah_ rsfamily_tv https://t.co/6FLwddiOv6
Ujio mpya wa ngoma mpya je umemisi nini merod swagger au maneno kuntu nipo producer @prodmaxmizer Tunapika madini kikubwa ni saport yako na kama unavyorijuwa #jijiladar Bila nyie mi sio… https://t.co/pVICCgoQ5I