Hedia Records Label Inatafuta Msanii Wa Kiume Chipukizi (BongoFleva) Mwenye Uhitaji Wa Management Ila Awe Talented , Muonekano Wa Kisanii Pia Awe Anaishi Dar
Wacheki Kwa Whtsup Na Kutuma Kazi Zake Kwenye No. +255719756686
Mpaka Sasa Nimetafutwa Na Wasanii Chipukizi 10 Wa BongoFleva Ambao Wanahitaji Management, Shida Ipo Kwenye Kuwachagua
Hili Jambo Haliihitaji Haraka, Mpaka Tupate Msanii Wetu Mpya Wa HEDIA RECORDS 🙏🏻
Kama Kuna Wengine Waendelee Kututafuta Mpaka Tumpate Mmoja Tuu Wa Kuanza Naye
Natafuta Msanii Wa Kiume Chipukizi Ambaye Hana Management Ila Awe Talented , Muonekano Wa Kisanii Pia Awe Anaishi Dar
Anicheki Whtsup Na Kunitumia Kazi Zake Kwenye No. +255719756686
Natafuta Msanii Wa Kiume Chipukizi Ambaye Hana Management Ila Awe Talented , Muonekano Wa Kisanii Pia Awe Anaishi Dar
Anicheki Na Kunitumia Kazi Zake Kwenye No. +255719756686
DIAMOND NA MAHATER WAKE 😅
▪️Akifanya Show Ndani Ya Nchi Utawasikia Wakisema
- Diamond Kaishiwa Sahv Anafanya Show Za Chaka 2 Chaka 😅
▪️Ukifanya Show Nje Ya Nchi Utawasikia Wakisema
- Show Sio Yake Kasaidiwa Kujaza Hana Uwezo Huo 😅
#TunakumbushanaTu
MONDI NA MAHATER WAKE 😅
▪️Akiimba Na Wasanii Wa Nje Utawasikia 😅
- Mondi Hapendi Kuimba Na Wasanii Wa Ndani Coz Anajua Atakalishwa
▪️Akiimba Na Wasanii Wa Ndani Utawasikia 😅
- Mondi Kaishiwa Sahv Ndmna Anaimba Na Wasanii Wa Ndani Ana Wachota Nyota
#MimiNawakumbushaTu
KONDE Kashirkishwa Na CHUI Kwenye Wimbo Wa PERE Ambao Hauna Hata 1 Wiki Ila Tyr KONDE Kasha Achia Kionjo Cha Wimbo Wake Mpya
Na Hamna Mtu Kapiga Kelele Kuhusu Hilo Ila Sasa Angefanya MONDI
Ungeanza Kuwasikia MONDI ana Roho MBAYA Kaamua Kumpandishia Mwezke😅
#MimiNawakumbushaTu
WAPOPO Kama Wameanza Kuitawala Nchi Yetu Tena
Mwaka Huu Walianza Na JOY IS COMING By Fido Hapa Kati Wakaja Na LAHO By Shallipopi Sahv Wapo Na MY DARLING by Chella
Ila Sisi Mpka Sasa Bado Hatujapeleka Mashambulizi Ya Maana Kwao Tunakwama Wapi? Au Tuwape Mdaa Wasanii Wetu?
👉🏽Mwanetu "TAWA" ni kati ya washikaji wenye styl nyingi sana za uimbaji aisee, nadhani kitu kinachomchelewesha ni uwekezaji zaidi katika upande wa "FARANGA" 🙌🏽
👉🏽Ndani ya hii ngoma katika verse yake unaweza dhania wameimba watu watatu, tena kati ya hao watatu unaweza hisi na "Rayvanny" ni mmoja wao 😅🙌🏽
Bonge moja la ngoma, na nadhani hata verse ya bidada imechorwa na "TAWA" .....kongole nyingi ziende kwake 🙌🏽
Kama hujakutana nayo,fanya kuicheki🚶🏾♂️
"Siena & Kontawa~Nataka tena"🎶🔥
#ParachichiFM