Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani.
Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win.
Hakuna kurudi nyuma…..
Asante sana Kaka @LarryMadowo kazi uliyoifanya Dunia imeona.
Hawa VIBAKA wa ndani wanaojiandaa kukosoa Ripoti tuachie sisi tunezoea Kunyooka nao mwanzo mwisho.
Endelea na Likizo yako Kaka kazi umeifanya vilivyo.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎