โ MUSLIM. It is Allah who gives and it is Allah who takes away, simba ๐น๐ฟ& man united ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ & Real Madrid ๐ช๐ธ โ ๏ฃฟ๐ Banter All Time.
@fbuyobe Kama Dunia ingekuwa ni yenye kudumu na wakazi wake, Basi angekuwa hai Mtume (s.a.w) wa Mwenyezi Mungu, Na mwenye kubakia (milele).
Lakini hii (Dunia) itafikia mwisho, pamoja na starehe zake.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un