Kuna watu bado wanaishi kwenye nyumba za kupanga au hawana magari au assets japo wana kazi sababu wamejitoa fedha wanazopata wanatumia kusomesha ndugu, kutatua baadhi ya mambo ya wanakotoka, kabla ya kuanza kujitazama wao. Usimuone mwenzako mzembe, hujui undani wake. Humjui.
Growth is when we learn from our mistakes and develope by nurturing our spirits
#freespirit#live#love#evolve#fortheloveofnature
Shot by @Simon_I_J, @sylitphotos