Mwanamke anajua tu vizuri bwanake ni bouncer wa club, alafu akipigwa anaanza kuita majirani wamsaidie,, wewe unaeza risk? So kuna siku Onyi amekuja mtaa akapata bibi ako tiktok anasema tap tap akiwa half naked na bado haja pikia mzee omena for lunch. Onyi akaamua amuonjeshe manifesto ya Ruto, alikula bibi mahedi na mangumi kadha. Ilibidi majirani tutoke inje wote juu nduru zilikua za kuaminika. Bahati mbaya, iyo siku wanaume wote kwa ploti walikua wameenda maandamano, ni mimi tu na Onyi ndio tulikua na makagare kwa hiyo ploti. Wamama wakaanza kusema niende kuongea na mwanaume mwenzangu. Of course hakuna vile ningekunja mkia, nikawaambia itabidi kila mtu amerudi kwake ku-take cover in case Onyi atoke inje na panga. After nimeona the coast is clear nilienda kwa mlango ya Onyi nikasema "Afande rusha teargas ndani, huyu anapotezea serkali muda, lazima akule risasi ya matako". Niliskia mlango imefunguliwa kurugushuuuu, amini usiamini, Onyi alisimamia Oyugis never to be seen again. Wamama walini sifu kuliko yesu,, you see in this life mahali tumefika inataka mwanaume utumie akili, nguvu niya kurusha mawe jakoom akiitisha maandamano. Yote tisa, kumi ni Zakayo lazima ashuke. Alamsikii!!๐