Nimefurahi kutembelewa na Mahujaji Vijana kutoka Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Mahujaji hao kutoka kituo cha Vijana cha Don Bosco Upanga walioambatana na baadhi ya wazazi, wapo nchini Uganda kwaajili ya kufanya Hija katika kituo cha Hija cha Namugongo, Jijini Kampala.
Picha ya pamoja na baadhi ya Mabalozi wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao katika Taifa la Uganda mara baada ya kikao kilichofanyika Tarehe 22 Agosti, 2024 Katika Ukumbi wa Hotel ya @SheratonKampala Jijini Kampala. Mabalozi hao walijadili mambo mbalimbali kuhusu Umoja huo.
Nimefarijika kutembelewa na Mhe. Brig. Gen. Jules Ndihokubwayo, Balozi wa Burundi nchini Uganda aliyefika @UbaloziUganda kwa ajili ya kujitambulisha. Tulipata pia nafasi ya kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo baina ya nchi zetu mbili.
Nimefurahi kupata fursa ya kutembelewa na Bw. Sanjay Rughani, Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya Standard Chartered , Uganda. Tulipata muda mzuri wa kujadiliana masuala mbalimbali ya biashara na uwekezaji.
@UbaloziUganda@StanChartUGA
Shifting Sand in Ngorongoro🇹🇿 : A striking black dune of shifting sand made of volcanic ash from Oldoinyo Lengai is being blown slowly over the plains to the west at a rate of around 17m per year. Visit Tanzania to witness this one-of-a-kind adventure.
#KaribuTanzania.
🩺Medical Tourism in Tanzania🇹🇿:The United Republic of Tanzania, through Benjamin Mkapa Hospital @bmhdodoma continues to offer kidney transplantation (KT) services, since its establishment, 40 Patients with CKD have received KT services. https://t.co/t1G5fFs60p. #KaribuTanzania🇹🇿
Agriculture opportunities available in Tanzania, you can visit the @InvestTanzania website at https://t.co/aJ2poJzejy .The site provides details on investment opportunities, including those in the agriculture sector, and offers resources for investors.
#Invest_in_Tanzania
Leo Nimepata nafasi ya kushiri Ibada ya Misa Takatifu ya Kumuombea Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere iliyofanyika katika Kanisa la @uganda_martyrs#Namugongo nchini Uganda. Mgeni rasmi alikua Mhe. @RobinahNabbanja, Waziri Mkuu wa Uganda, akimuwakilisha Mhe. Rais @KagutaMuseveni.
Leo tumetembelewa na Mahujaji 41 kutoka Parokia ya Familia Takatifu Ipuli Jimbo Kuu, Tabora. Ujumbe huo upo nchini Uganda kushiriki Ibada ya Misa ya Kumuombea Hayati Mwl. Julius Nyerere na Misa Takatifu ya Kuwakumbuka Watakatifu Mashaidi wa Uganda katika kituo cha Hija Namugongo.
#MoFAUpdate: Launch of the 2nd #UGTZBusinessForum.
H.E. Maj. Gen. Paul Kisesa Simuli, High Commissioner of the United Republic of Tanzania to Uganda @TZembassyUG shared that;
Tanzania🇹🇿 is pleased to host and welcome Uganda's public and private sector at the upcoming 2nd Uganda-Tanzania Business Forum, scheduled for the 23rd and 24th of May in Dar es Salaam. "This forum is of great importance as it aims to foster greater economic collaboration between our two nations." he said.
Amb. Maj. Gen. P.K. Simuli noted that, "#Uganda🇺🇬 and #Tanzania🇹🇿 share a special bond, and it is imperative that we strengthen this relationship through increased business partnerships. The forum will serve as a platform to encourage the private sector to explore and invest in the numerous opportunities available in Tanzania."
Register: https://t.co/7GePwmHCY9
@tpsftz | @tccia_official | @PSF_Uganda | @mfa_tanzania | @InvestTanzania | @ugandainvest
#MoFAUpdate: Launch of the 2nd #UGTZBusinessForum.
Amb. Maj. Gen. P.K. Simuli highlighted that, "#Tanzania offers a wide array of investment opportunities, particularly in #agriculture, #mining, #fisheries, and small businesses. Our country boasts vast arable land for agriculture, abundant mineral resources in regions like Mwanza and Geita, and rich aquatic resources along its waterbodies and shores. Additionally, there are ample opportunities for small businesses to engage in cross-border trade and collaborations."
"I invite all interested parties from both #Uganda🇺🇬 and #Tanzania🇹🇿 to participate in this forum, as it promises to be a significant step towards enhancing economic cooperation and building lasting partnerships between our two nations." he adds.
Register: https://t.co/7GePwmHCY9
@tpsftz | @tccia_official | @PSF_Uganda | @mfa_tanzania | @InvestTanzania | @ugandainvest
Delighted to have shared my remarks at the Media Launch of the 2nd Uganda - Tanzania Business Forum 2024, highlighting the vital collaboration & economic cooperation between our two nations. Looking forward to the forum on 23rd - 24th May, 2024, at @JohariRotana, Dar es Salaam.