SI-NDOTO TENA!
Chini ya uongozi makini wa Rais Samia, Bandari ya Dar es Salaam imebadilika kweli kweli. Mizigo imeongezeka kutoka tani milioni 16.27 hadi milioni 33.71, ongezeko la 107.3%. Mapato ya TPA yamepaa kutoka Tsh bilioni 897 hadi trilioni 1.30, ⤵️
#SiNdotoTena
SI-NDOTO TENA!
Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuthibitisha kuwa maneno yanakwenda sambamba na vitendo. Vivuko vipya vitano vya TEMESA vimejengwa Ziwa Victoria kwa gharama ya Tsh Bilioni 28.7, huku ajira 234 zikipatikana kwa Watanzania.
⤵️
#SiNdotoTena#SamiaDelivery
Usafiri salama na wa uhakika kwa wananchi, biashara zinakua, uchumi unachangamka, na maisha yanaboreka kila siku. Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa maono na vitendo!
Kazi na Utu Tunasonga Mbele!
SI-NDOTO TENA!
Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuthibitisha kuwa maneno yanakwenda sambamba na vitendo. Vivuko vipya vitano vya TEMESA vimejengwa Ziwa Victoria kwa gharama ya Tsh Bilioni 28.7, huku ajira 234 zikipatikana kwa Watanzania.
⤵️
#SiNdotoTena#SamiaDelivery
Hotuba yangu leo katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaoendelea jijini Antalya, nchini Uturuki.
Nimetumia jukwaa hili kusisitiza maeneo matatu ya kipaumbele katika kufanikisha malengo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ambayo ni:
1. Upatikanaji wa uhakika wa rasilimali fedha kwa ajili ya masuala ya mazingira.
2. Upatikanaji wa uhakika na nafuu wa nishati safi.
3. Kuendeleza maendeleo jumuishi na yanayohimili athari za mabadiliko ya tabianchi.
@SuluhuSamia Hongera Rais Samia kwa hotuba yenye maana. Upatikanaji wa fedha za mazingira na maendeleo jumuishi ni vipaumbele sahihi vinavyoonyesha upendo wako kwa wananchi.
SI-NDOTO TENA!
Chini ya uongozi makini wa Rais Samia, Bandari ya Dar es Salaam imebadilika kweli kweli. Mizigo imeongezeka kutoka tani milioni 16.27 hadi milioni 33.71, ongezeko la 107.3%. Mapato ya TPA yamepaa kutoka Tsh bilioni 897 hadi trilioni 1.30, ⤵️
#SiNdotoTena
huku muda wa meli kusubiri nangani ukishuka kutoka siku 46 hadi siku 7 tu.
Hongera Mhe. Rais Samia kwa mageuzi haya makubwa, uchumi wetu unazidi kupaa!
#SiNdotoTena
SI-NDOTO TENA!
Chini ya uongozi makini wa Rais Samia, Bandari ya Dar es Salaam imebadilika kweli kweli. Mizigo imeongezeka kutoka tani milioni 16.27 hadi milioni 33.71, ongezeko la 107.3%. Mapato ya TPA yamepaa kutoka Tsh bilioni 897 hadi trilioni 1.30, ⤵️
#SiNdotoTena
SI-NDOTO TENA!
Zamani ilikuwa ndoto, leo ni uhalisia unaoonekana kwa macho! Tangu 2021 hadi 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amenunua ndege 7 mpya zinazolipeperusha vyema bendera ya Tanzania ndani na nje ya nchi. Hatua hii inafungua milango ya utalii, biashara na uwekezaji, ⤵️
Na pale Dodoma, uwanja mpya wa kimataifa umefikia asilimia 94 ya ujenzi, majengo 6 yakiwa tayari kuwakaribisha wasafiri wa kila kona ya dunia.
Hongera Rais Samia kwa maono makubwa yanayoliinua taifa letu kupitia anga! Kazi na Utu Tunasonga!
#SiNdotoTena
SI-NDOTO TENA!
Zamani ilikuwa ndoto, leo ni uhalisia unaoonekana kwa macho! Tangu 2021 hadi 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amenunua ndege 7 mpya zinazolipeperusha vyema bendera ya Tanzania ndani na nje ya nchi. Hatua hii inafungua milango ya utalii, biashara na uwekezaji, ⤵️
na kuwaunganisha Watanzania na dunia nzima.
Hakuishia angani pekee. Zaidi ya TSh trilioni 1.1 zimetumika kujenga na kukarabati viwanja vya ndege ndani ya miaka mitatu hadi Machi 2024, ili ndege hizi zipate pa kutua kwa usalama na hadhi ya kimataifa.⤵️
Kupitia Samia Scholarship, vijana 1,050 wanapata fursa ya kuendeleza ndoto zao, huku watoto wa kike wakipewa nafasi sawa na wavulana katika kufikia elimu na kutimiza malengo yao.
⤵️
#SiNdotoTena
SI-NDOTO TENA!
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuthibitisha kuwa elimu ni msingi wa maendeleo ya Taifa. Kupitia Samia Scholarship, ndoto za vijana 1,050 zinapata nafasi ya kuwa uhalisia.
Huu ni uongozi unaowekeza kwa watu na mustakabali wa Tanzania.