Plus Nukuu na Mhe. Miraji Mtaturu Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki.
Amenukuliwa akiwa kwenye mkutana wa Wazazi wakiadhimisha Miaka 48 ya CCM Wilaya ya Ikungi Kata ya Mang`onyi.
🎥 @willy_chambua
.
Full Video Ipo Youtube Yetu ya @singidaplus
Sponsored By @Inkmediatz
Mpango wa kuanzisha Radio Manyoni waanza, Mary Kanumba Afsa mipango wa Halmashauri ya Manyoni ame bainisha mpango wa Radio Manyoni akiwasirisha Rasimu ya mipango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2025 / 2026 kwenye Baraza la Madiwani.
🎥 @willy_chambua
Full Video Ipo Youtube Yetu
Leo kampuni ya michezo ya kubashiri Parimatch Tanzania imemtambulisha rasmi Haji Sunday Manara ‘El Bugati’ kama balozi mpya wa kampuni hiyo ambapo Manara utaendeleza kusherehesha burudani inayoambatana na ushindi mkubwa kutoka Parimatch