Msanii Mkongwe wa muziki Nchini ‘Kaka Man’ aliyewahi kutamba na kibao cha “Kama Noma” anadaiwa kuwa katika hali ngumu ya kiafya na kiuchumi baada ya kusumbuliwa na matatizo ya afya kwa miaka kadhaa.
Akizungumza na Ayo TV, Mama Mzazi wa Msanii huyo amesema kwa sasa Kaka Man hasikii kabisa ingawa bado ana uwezo wa kusoma na kuandika.
Amesema hali hiyo ilitokana na kipigo alichodai alipata kutoka kwa mmoja wa Mtu aliyekuwa akishirikiana naye katika muziki ikiwa ni takribani miaka mitano iliyopita.
“Kwa sasa hasikii kabisa, lakini anajua kusoma na kuandika hali hiyo ilitokana na kipigo naombeni mnisaidie,” amesema Mama yake.
Mama huyo ameomba msaada wa kifedha na matibabu kutoka kwa Watu wenye uwezo wa kumsaidia Mwanawe, akieleza kuwa kutokana na changamoto za maisha alilazimika kumtoa Dar es salaam na kwenda kuishi naye Newala, Mkoani Mtwara.
#MillardAyoUPDATES
Tukiachana na ishu ya content ila mtoa huduma ameshindwa kumhudumia vizuri mteja, Kwa taasisi ambayo niliwai fanya hii kazi watu wa Quality Assurance lazima wangemuita
Don’t cry, lads. 🇹🇿💔
Be proud of your effort because you had a remarkable tournament and showed real spirit all the way to the final.
Turn those tears into fuel for the next edition. The future is bright.
And to Tanzanians at home, go and receive them well at the airport when they come home. They deserve it. 👊🏾
#AFCONwithMicky #AfricanFootball #AFCONU17
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameipongeza timu ya taifa ya vijana ya Tanzania kwa kuingia fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17).
Serengeti Boys imeingia hatua hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3 dhidi ya Misri, leo Alhamisi, Mei 28, 2026 jijini Rabat, Morocco.
Wenger amesema kuwa Serengeti Boys imeonyesha kiwango cha kuvutia kilichoipa ushindi katika mchezo huo.
Kocha huyo ambaye kwa sasa ni Mkuu wa idara ya maendeleo ya soka ya FIFA, ameipongeza pia Misri na amesema anazisubiria timu zote mbili katika Kombe la Dunia kwa vijana wa umri huo, zitakazofanyika Qatar baadaye mwaka huu.
Congratulations Tanzania 🇹🇿 for Qualifying for the AFCON U17 final after beating Egypt 🇪🇬.
To be sincere Tanzania is rhe most consistent football ⚽️ country in East Africa without doubt.
The results speak for themselves @soka25east
Nauwaambie watu Senegal na Morocco wanapambana kwenda kufungwa na Tanzania Fainal
Next international break Tutaomba friendly game Tanzania u17 VS Harambee stars hiki kipigo wote mpate