@amosnamanjr@kabujeDr Eeh kaka yaan hapo ni sio wote,ni sawa tu mtu aseme "Kabila fulani malaya sana" ukwrri ni kwamba hakuna kabila linakosa wanawake ambao ni malaya,ni hamna.
@sukununu2 Pia ni katika vitu vinavyomfanya mtu atoke katika Uislamu, kuifanyia dhihaka, dharau, mzaha Qur’an, sura au hata aya ya Qur’an. (Ali al-Kari, ibid, p. 151; al-Fatawa'l Hindiyya, II, 266; A.Saim Kılavuz, İman Küfür Sınırı, İstanbul 1982, p. 114-115)
@prossoff Tangu kubalehe kwangu kama mke wangu,anatabia nzuri mno namshukur mungu sana kwakunipa mke wangu,anatabia nzur mnoo kias kwamba siwez kuzielezea hapa kias kwamba navoandka haya maneno machozi yananilenga,nampenda sana mke wangu.
@prossoff Mimi mke wangu ni alilelewa na single mother,mama ake alizaa akiwa na miaka 18 kama sio 16(nmsahau kidogo),famlia yao hawajasoma wote ni wameishia la7 kwetu sio mbaya alah handulillah 😁,huyu bint nlmuoa akiwa na miaka 18,kaishia la7 aisee chief sijawah kukutana na mwanamke tang
@horsemanmonster Mzee j cole hanaga ngoma mbovu,zote kali mimi ukiniuliza rapper wako bora wa muda wote nakumentinia j.cole,anajua sana,yuko smart sana.Kijana fatlia ngoma za j cole.
@nyuki_malkia Vidonda vya tumbo havina dawa maalumu kwamba 100% unapona,hakuna tusidanganyane hapa..Vinatulia tu flesh na unakula vyakula vzur tu(maharage sjui pilipli n.k) lakn vikija vikikuibukia tena ndo utajua kwanni uliambiwa usile hivyo vyakula
@nyuki_malkia Tatzo ni kwamba wagonjwa wengi na ulcers wanatumia dawa and then akishapata nafuu anaanza kula vyakula ambavyo alishauriwa asivile hapo ndo kuna tatzo.