Mother gives pains, bears a child.
Believer gives life, gets Jannah.
Child gives time, gets old.
Man gives services, gets respect.
Woman gives comfort,gets a man.
Poor gives remarkable efforts,gets rich.
NOTHING IS FREE! WHO EVER RELIES IN UNCONDITIONAL LOVE OR WIN IS A LIAR.
Nina familia niliyozaliwa,
Rafiki yangu ni familia yangu,
Familia yangu ndio taifa langu,
Familia yangu ni sawa na maisha yangu.
Nitasimama kwa ajili ya familia yangu hadi mwisho wa uwezo wangu mpaka atakaponiita Mola wangu, na kurejea kwake aliyeniumba.
Huyu ndio mimi halisi.
"Reasons to live give reasons to die"
Unayeishi kwa ajili yake ndio unakufa kwa ajili yake. (Unayomfanyia ndio hukuua). Wazazi kwa ajili ya familia na kufa kwa ajili ya hiohio, wapenzi kwa wapenzi pia. kazi kwa malipo na yanakuua pia.
Ishi kwa ajili ya Mungu na ufe kwa ajili yake
Sir, Muda unaohitaji kujifanya kuwa namna fulani jifanye, sometime ndio usalama wako pia.
β’ Jifanye Mjinga
β’ Jifanye hujui
β’ Jifanye hujasoma
β’ Jifanye huna pesa
β’ Jifanye hujawasikia
β’ Jifanye hujawashtukia
β Ila usidharauliwe mara2 na mtu mmoja kama sio lazima.
@MfalmewaX1 1.Ahamie kwa mwana au akae nae.
2. Aachane na simu ikifika usiku wa kulala.
3. Anakiogopa nini? Kifo? Au Mungu? Akiwaza nyeto afuatilie hadithi au video ya anachokiogopa.
4. Nitafanya kesho au baadae. Aseme sana hili.
5. Apitie page yako sana ataidharau nyeto.
3MTHS ANAACHA.
Sir, huzuni na hasira havijawahi kumsaidia mtu mwenye navyo hata kama alistahili kukasirika au kuhuzunika.
Basi chelewa kukasirika na kuhuzunika hata kama unastahili kufanya hivyo. Na usikubali kuwa na hali hizi kwa muda mrefu. Utafurahia maisha.
"Maisha ni raha na kufurahi"
Kwenye dili kuna "Caveat" Ni maneno fulani ya kusisimua na kushawishi kua dili ni zuri na lina pesa. Mwenye dili analeta makusudi. Kuwa nayo makini, haya ni zaidi ya dili lenyewe. Fikiria vizuri sio mihemko ya pesa au ofa unakubali tu fasta.
Wengi wanapigwa hapa.
Kama huna pesa usione aibu.
Kama hujajipata usione aibu.
Kama lengo halijatimia usione aibu.
Kama huwezi kujikimu usione aibu.
Yaani kama tuu, basi usione aibu.