Naona pia rafiki yangu @HEBabuOwino kuna mahali hajashika msuri, na kama ilivyo ada yangu lemme take him through.
Numero uno, hakuna mtu anaitwa Sifuna, Sifuna ni watu, me included. Naomba uweke statement mahali ulikuja tukaagree ukue party leader wangu.
Numero mbwekse, nataka ulete any report ama history, sababu wewe najua ni msomi, mahali uliwaiona presidential candidate mwenye si party leader. Kwani mtu ataenda vita bila silaha?
Na ya mwisho, tulikuwarn uwache ujanja kidogo ona sasa ushalia game haijaanza. Ikifika January hujafunga hiyo chama ukuje LMM, tutaweka candidate pia sisi mpatane mundhu khu mundhu. Kaende sana
Fun fact: Hata English names zina regional patterns Kenya. Kuna majina utapata yamedominate certain regions kuliko zingine. Sometimes, mtu anaweza jua region umetoka just from your first name, hata kabla hajajua surname yako. For example ukiskia msupa anaitwa Wendy, Blessy, Bessy jua huyo ni miraa babes. Ukiskia ndume inaitwa Willy(Wilberforce), Wycliffe, Sospeter jua huyo ni wa ingo. Ukiskia swahili names sijui Zawadi, Amani, et al huyo si wa bara.
Lakini ukiskia Edwin Sifuna unajua huyo ndo the 6th president of Kenya.
Hakuna mtu ako worried sahii kuliko Arteta & Co. Wanashangaa vile wata approach Carrick Ball,they don't know who'll start upfront, kwa wing pia. Itakuwa mbayaa 😂😂