@Watu_Mikeka Nipo Mbingu morogoro
nitawekeza hyo pesa kwenye kununua Cocoa mbichi kg 6500/=
kwa huo mtaji ntapata almost Kg 80
nikikausha naziuza haphapa kwenye AMCOS
Kg 25000/= aproximately kg50 baada ya kukauka
so ni 25000×50=1250000 na hyo process nafanya mara 2 kwa mwezi
Faida byutbyuti