"Katika maisha yako kuyaelekea mafanikio, watakaokuwekea vizuizi njiani ni wa kizazi chako na watu wa karibu yako ambao watatafsiri kufanikiwa kwako kama tishio kwao au kielelezo cha kufeli kwao. Ukifanikiwa, usiwakoge. Kuwa mnyenyekevu." ~Togolani Mavura.
Mtu anatamani kuwa kama mtu fulani anevutiwa nae lkn hayuko tayari kupitia changamoto kama alizo pitia huyo mtu sasa utatakata vipi!!?!!
[Kumbuka hata Dhahabu pia huchomwa kwenye moto ili ipate kun'gara]