TUKUBALIANE, Siku zote interview yako itaenda vizuri, hadi linapotea swali la UNATAKA KULIPWA TSH NGAPI?🤯
Ghafla maneno yanakwama, ni kama kitendawili kigumu, kikiacha hata wenye uzoefu kwenye sintofahamu
JINSI ya Kujibu Swali la Matarajio ya Mshahara kwenye Job Interview.
🧵
Kumbuka kuwa majibu yako yanapaswa kuwa ya kujiamini, yenye mifano halisi na yaliyobinafsishwa kulingana na kampuni unayoomba kazi.
Tumia muda kujifunza kuhusu kampuni na jukumu kabla ya mahojiano ili uweze kutoa majibu yenye kueleweka na yanayolenga mahitaji yao.
Ukiitwa kwenye interview, jiandae kujibu haya maswali yatakaoulizwa:
1. Swali: Tuambie kuhusu wewe / Tell us about yourself
Jibu: "Jina langu ni [Jina lako], nimejifunza [taaluma yako] na nina uzoefu katika [eneo la uzoefu wako].
[Malizia na sababu ya kuomba kazi]
🧵
8. Swali: Una utaratibu gani wa kujipanga na kutekeleza majukumu yako?
Jibu: "Ninafuata mbinu za kupanga na ratiba yangu kwa ufanisi. Huwa napanga kazi zangu kwa siku, wiki, na mwezi, na kuweka vipaumbele ili kuhakikisha malengo yangu yanafikiwa kwa wakati."
Wakati wa kuandaa CV yako, hakikisha unatumia "Action Verbs" (Vitenzi vya vitendo) wakati wa kuelezea uzoefu wako.
Mfano:
1. ❌Responsible for managing a team of sales representatives.
✅ Managed a team of 10 sales representatives, increasing monthly revenue by 25%.
VIPENGELE muhimu usisahau kuweka ili kupata CV inayoeleweka na yenye ufanisi:
1/ Maelezo ya Mawasiliano (Contact Information):
Anza kwa kuandika
- Jina lako
- Nambari ya simu
- Anwani ya barua pepe
- Mkoa unapoishi
9/ Referees:
Ni kawaida kuandika "Marejeleo yanapatikana kwa ombi." (References available upon request)
Ila kama kazi inahitaji uweke Referees, waweke.