Huwezi funga penalti kwa kichwa. Wafisadi WAKUU wa NYS lazima pia wachukuliwe hatua za kisheria. Bunge litafunguliwa tarehe 5. Msipowataja tutawataja hadharani. Msione tumekimya ila twafuatilia kwa makini. Twataka pia kuona wezi wakubwa waliotoa idhini kizimbani. Mwizi ni Mwizi!