We had zero expectations from any other nations to support Bafana Bafana. If your country didn’t qualify for the World Cup you have every right to support whoever you like.
The wrong place to start and pose for images. Washington DC is the headquarters of imperialism, genocide, war crimes and human rights violations. No legitimate Pan-African or Freedom Fighter takes pride in the that citadel of slavery and savagery.
After much reflection, I have decided to resign from my position as Director of the National Counterterrorism Center, effective today.
I cannot in good conscience support the ongoing war in Iran. Iran posed no imminent threat to our nation, and it is clear that we started this war due to pressure from Israel and its powerful American lobby.
It has been an honor serving under @POTUS and @DNIGabbard and leading the professionals at NCTC.
May God bless America.
BREAKING NEWS | The crescent moon has been sighted in Saudi Arabia.
Therefore, Ramadhān 1447 will begin tonight.
May Allāh ﷻ accept our siyām, qiyām & acts of worship, and may He grant us the ability to utilise the precious moments of this Blessed month to engage in that which pleases Him. Aameen.
The goal is to be beautiful and distinguishly overeducated!🎓
On this day, 18th of October 2025, I matriculated at Oxford University, stepping into a thousand years of tradition and timeless pursuit of knowledge. By grace through unfiltered faith!!
Lk26✨
Nimefika tena Babati, Mkoa wa Manyara ikiwa ni siku ya pili na ya mwisho ya Kampeni za Kiti cha Rais za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mkoa huu. Ahsanteni sana wananchi wa Manyara.
Nimefurahi sana kusikia na kuona jinsi wananchi wanavyoendelea kunufaika na matokeo ya kazi na utekelezaji wa miradi unaofanywa na Serikali kwenye mkoa huu. Hapa Manyara na kote tunapopita nchini, ahadi yetu ni kuendelea kufanya kazi ya kuwatumikia wananchi na Taifa letu kwa weledi zaidi, maarifa zaidi na mafanikio zaidi, huku tukisimamia misingi imara ya nchi yetu kubaki moja, yenye amani, utulivu na mshikamano.
Nimepata heshima kubwa ya kuanza rasmi kampeni zetu visiwani Zanzibar kwa kufanya mkutano wa kwanza hapa Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja. Hapa ni nyumbani, mahali ambapo safari yangu ya utumishi kwa Taifa letu ilianza.
Baraka huanzia nyumbani, hivyo leo nimerudi kuwaomba mwendelee kutupa imani yenu, ili kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) tutimize azma yetu ya kujenga Tanzania imara yenye maendeleo jumuishi, amani, utulivu na mshikamano.
Ninawashukuru sana. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Hongera sana Alphonce Simbu kwa Medali ya Dhahabu ya ushindi wa Mbio Ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo. Ndani ya saa 2:09:48 umeandika sehemu ya historia ya Taifa letu.
Kama nilivyokusihi uliposhika nafasi ya pili kwenye Boston Marathon mwezi Aprili mwaka huu, ushindi wako ni matokeo ya nidhamu yako ya hali ya juu na kujituma kwa bidii kwenye kazi. Umekuwa mfano bora kuhusu nguzo hizo mbili za kazi kwa wanariadha na wanamichezo wenzako, na hata kwa wasiyo wanamichezo.
Endelea kuipeperusha vyema na kuiheshimisha bendera ya Taifa letu.
Siku ya pili ya kampeni zetu mkoani Tabora ambapo nimekuwa na wakati mzuri kuzungumza na wananchi wa Uyui, Urambo na Kaliua. Mwitikio wenu mkubwa ni uthibitisho wa imani yenu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kazi kubwa zilizofanyika na kwa yale tuliyopanga kutekeleza kwa nchi yetu baada ya kupata tena ridhaa yenu mwezi Oktoba.
Ninawashukuru sana.
Leo jioni nikizungumza na wananchi wa Singida katika Uwanja wa Bombadia. Zaidi ya shilingi trilioni 1.7 zimetumika kwenye shughuli za kijamii na kimaendeleo mkoani hapa katika kipindi cha miaka minne ikiwa ni pamoja na ujenzi wa hospitali 4, vituo vya afya 20 na zahanati 63.
Kutokana na mafanikio makubwa tuliyoyapata, historia na uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kutumikia nchi yetu, pamoja na mipango tuliyonayo kwa mkoa huu, tunaamini wananchi watakipa Chama Cha Mapinduzi ridhaa ya kuendelea kuliongoza Taifa letu.
Mapema leo, tulipoanza kampeni zetu Mkoa wa Iringa ambapo nimezungumza na wananchi wa Kata ya Nyololo, Jimbo la Mufindi Kusini.
Huu ni mwendelezo wa ratiba yetu ya kukutana na kuzungumza na wananchi kuhusu kazi tulizofanya na ambazo tunakusudia kuzifanya, baada ya kupata ridhaa yao katika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba.