Mrejesho wa wateja wetu 💬
Tunajivunia kuendelea kutoa huduma zinazowezesha biashara kukua kwa urahisi zaidi.
Tupigie/WhatsApp: 0745 192 369 kujipatia mfumo wa utoaji risiti uliothibitishwa na Mamlaka ya Mapato @TRATanzania.
#SmartEFD | #RahisiHarakaUhakika
Tunapenda kuwataarifu wateja na wadau wetu wa Kilimanjaro kuwa ofisi za Smart EFD zimehamia ghorofa ya nne, chumba namba 401, Jengo la @Kahawa_House.
TUPIGIE: 0763 543 291 / 0764 586 257
#SmartEFD | #RahisiHarakaUhakika
Nzega huduma ya Smart EFD zimewafikia! 🥳
Huduma zetu zinapatikana kupitia wakala wetu FANITAX CONSULTANCY, Jengo la Shaboot Shopping Centre.
#SmartEFD | #RahisiHarakaUhakika
Kwa nini Smart EFD?
Kwa sababu biashara yako inahitaji urahisi, uharaka na uhakika, katika utoaji risiti zilizothibitishwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania @TRATanzania na usimamizi wa biashara yako.
#SmartEFD
Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, timu ya Smart EFD ilipata fursa ya kutembelea Hill Group, mmoja wa wateja wetu wa muda mrefu na washirika muhimu katika safari ya kidigitali ya utoaji risiti.
#SmartEFD | #CustomerServiceWeek
Smart EFD ni suluhisho lako la kutoa risiti zilizothibitishwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania – TRA kwa urahisi, bila kuwa na mashine kubwa.
#SmartEFD | #RahisiHarakaUhakika
Smart EFD tupo Nane Nane – Mbeya! 🌾
Karibu kwenye Banda la TRA — Maonesho ya Nane Nane Mbeya tukuhudumie moja kwa moja!
Tupo tayari kukuunganisha na mfumo wa kidigitali wa utoaji risiti, ulio rahisi, haraka na rahisi!
#SmartEFD#NaneNane2025
Tuma risiti wa njia yoyote inayomfaa mteja wako! Kwa kutumia Smart EFD, unaweza kutuma risiti kwa urahisi kama:
📄 PDF – kwa barua pepe
✉️ SMS – moja kwa moja kwenye simu
🖼️ JPG – kama picha inayoonekana kirahisi
Rahisisha huduma kwa wateja wako hata wale waliokuwa mbali!
Smart EFD Tupo Saba Saba — Karibu ujionee maajabu ya risiti kidigitali! Uko tayari kubadili namna unavyoendesha biashara yako?
Tupo ndani ya Jengo la TRA – Kitengo cha EFD/VFD
#SmartEFD | #RahisiHarakaUhakika
Tupo Saba Saba! 📌
Smart EFD tupate ndani ya Jengo la TRA, kitengo cha EFD/VFD.
Karibu ujipatie mfumo, printer au Smart POS, ujifunze zaidi kuhusu jinsi ya kutoa risiti kidigitali, kufuatilia mauzo yako, na kupata huduma bora kabisa kwa biashara yako.
#SmartEFD | #SabaSaba2025
Kwa kutumia Smart EFD, unaweza kupakua na kutengeneza ripoti zako za mauzo moja kwa moja kwenye Excel.
Hifadhi kumbukumbu, fuatilia maendeleo, na fanya maamuzi sahihi kila siku! Rahisi, haraka na bora kwa uchambuzi wa biashara yako.
#SmartEFD