Bidhaa halisi kwa Chakula Bora.
Smile Tomato Sauce inapatikana nchi nzima kwa bei elekezi. Karibu tukuhudumie wewe na yule na wengine.
Chaguo ni lako kuchukua kwa bei ya jumla na rejareja..
#SmileNaTomato
Huyu Mwamba namuonaga sana TikTok na IG..
Leo ameelezea vyema jina la Ubepari lilipotoke..
Vipi wewe pia unaona Brand name yako inaweza miwa na Impact...?
Vijana ni sehemu muhimu ya watumiaji wa huduma za afya, lakini bado hawajapewa nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi ya uendeshaji huduma hizo.
Tuiunge mkono Serikali kuboresha mwongozo wa kamati za afya ili vijana wapate uwakilishi stahiki.
#LetsTalkTz | #AfriYANTz
Vijana ni watumiaji wakubwa wa huduma za afya lakini hawajumuishwi kwenye kamati za uendeshaji vituo vya afya. Mwongozo uliopo umetaja uwakilishi wa wanawake pekee. Ni muhimu wizara kuboresha mwongozo ili vijana wapate sauti kwenye maamuzi ya afya.
#LetsTalkTz | #AfriYANTz
Vijana ni sehemu muhimu ya watumiaji wa huduma za afya, lakini bado hawajapewa nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi ya uendeshaji huduma hizo.
Tuiunge mkono Serikali kuboresha mwongozo wa kamati za afya ili vijana wapate uwakilishi stahiki.
#LetsTalkTz | #AfriYANTz
“Maono ya Mwalimu Nyerere yanaendelea kuwa dira kwa nguvu kazi ya Tanzania katika kukuza usawa, ubora, na maendeleo. Smile Tomato inajivunia kuadhimisha Siku ya Nyerere.”
#DearNyerere | #NyerereDay#SmileTomato
Exciting Updates🥳
We’re thrilled to introduce Aya Kamil, a postgraduate alumni from the @UniofOxford , joining us as a Nature & Policy Officer through the @Africa_Oxford initiative Ubuntu Placement Program.🥳
Join us in welcoming the amazing Aya🤗
#CHTcommunity!