Skuli ya Elimu ya Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar ilipokea ujumbe wa mafundi 40 wa mashine za hati nundu ( braille machines) kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania. Mafundi 8 wanawake , 32 wanaume. Mafundi... https://t.co/9IE1456ztu
Mwanafunzi bora wa Stashahada ya Elimu mjumuisho na mahitaji maalum ( Diploma in Inclusive and Special Needs Education) . Ni mtaalamu wa hati nundu ( brailles) . Hongera Saada Kombo Maulid.