Muheza tumewafikia
Tawi letu jipya linapatikana Post Office barabara kuu ya Segera karibu na benki za NMB na CRDB.
Karibu sana tuwahudumie kwa mikopo yenye masharti nafuu.
#SoftFinance#MpangoPesa
TBT
Oktoba 2025, Katik maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, timu ya @softfinancetz ilisheherekea mafanikio tuliyoyafikia na kutathamini mchango wa kila mmoja ktk kuwahudumia wateja.
Uongozi wa Softfinance unatoa pongezi kwa kila mmoja aliyefanikisha safari hii
#MpangoPesa
Biashara yako haipaswi kusuasua
Msimu huu wa Sabasaba, Karibu Soft Finance tukupatie mkopo wa TSh 6M uongeze huduma na bidhaa
๐ข 07:30 Asubuhi โ 11:00 Jioni
๐ Makumbusho Stand | Tandika Stand
๐ Usagara Hostel โ Tanga | Post Office โ Muheza
#MpangoPesa#Sabasaba
Leo ni Siku ya Sabasaba.
Softfinance tunawataki wateja wetu wote maadhimisho mema.
Tunathamini jitihada zenu, tutaendelea kuwaunga mkono kwa mikopo yenye masharti nafuu
#SabaSaba#MpangoPesa
Anza wiki kwa mipango madhubuti!
Ifanye @softfinancetz kuwa daraja la mafanikio yako.
Msimu huu wa Sabasaba, jipatie mkopo wa biashara na kukuza ndoto zako leo.
๐Makumbusho stendi
๐ Tandika stendi
๐ Usagara Hostel (Tanga)
๐ Post office (Muheza)
#MpangoPesa
Msimu huu wa Sabasaba
Softfinance tumeboresha huduma zetu.
Jipatie mikopo ya biashara upanue wigo wa kuwafikia wateja wengi zaidi.
๐Makumbusho stendi na Tandika Stendi
๐ Usagara Hostel Tanga na Muheza
#ElimikaWikiendi#MpangoPesa
๐๐๐ฆ๐๐จ ๐ฏ๐ข๐ฉ๐ข ๐๐ฎ๐ก๐๐ณ๐! ๐
Ofisi zetu zimeanza rasmi kutoa huduma. Karibu ujipatie:
๐ค Mkopo Binafsi
๐ค Mkopo wa Biashara
๐ค Mkopo wa Dharura
๐ค Mkopo wa Vikundi
๐ Tunapatikana Muheza Post Office
๐ 0679 000 900 | 0678 000 800
#MpangoPesa
Nusu ya pili ya mwaka iamshe ndoto zako upya.
๐ก Weka mikakati madhubuti.
โ Simamia fedha zako kwa busara.
๐ค Ifanye @Softfinancetz kuwa daraja la safari yako ya kuinuka kiuchumi.
#SoftFinance#MpangoPes
Tulianza Dar es Salaam
Tukasogea Tanga Mjini, Sasa tumefika Muheza.
Tutawafikia wote, Lengo letu ni kuwahudumia kwa viwango kupata mkopo wenye masharti nafuu na elimu ya fedha
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Niaje Muheza ๐
Jiandae kupiga hatua kiuchumi
Softfinance tunafungua tawi letu mapema Julai Mosi.
Fursa za kifedha sasa ziko karibu nawe
#SoftFinance#MpangoPesa
๐๐จ๐๐๐ 1
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.
Jiandae kupata huduma bora za fedha โ Mikopo ya wajasiriamali
โ Mkopo wa biashara
โ Mkopo kwa waajiriwa
โ Mkopo kwa vikundi vya wajasiriamali
Anza nusu ya pili ya mwaka vizuri
#MpangoPesa
It's a new week
Anza wiki ukiwa na uhakika
@softfinancetz ipo kwa ajili yako, Jipatie mkopo hadi 10M ukamilishe michongo na biashara zako.
Dhamana ni mshahara wako tu
๐ 0679 000 900 | 0678 000 800
#MpangoPesa
#TBT
Mapema Oktoba 2025, tuliwaalika wajasiriamali 60 wanufaika wa mikopo ya vikundi (Mwananchi Plus Loan) katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Tulisherehekea mafanikio yao, kuwapongeza kwa hatua walizofikia na kuwapatia elimu ya fedha.
#Softfinance#MpangoPesa
Ni nusu mwaka, mtaji bado unasumbua?
Mwaka huu tumewawezesha zaidi ya wafanyabiashara 371,240 kupata mikopo na kukuza biashara zao.
Zamu yako inafuata sasa, Karibu ujipatie mkopo 5M ufikie malengo yako
#MpangoPesa