Biashara yako inachechemea?
Usikate tamaa! @Softfinancetz tupo tayari kukuwezesha mikopo yenye masharti nafuu.
โ Mikopo kuanzia laki 4-10M
โ Mchakato ni ndani ya dakika 45
๐ Tembelea matawi yetu: Makumbusho Stendi | Tandika Stendi Usagara Hostel โ Tanga
#MpangoPesa
Biashara nyingi hazifi kwa kukosa wateja, bali kwa kukosa mipango sahihi.
Nusu hii ya mwaka sasa.
๐ Jitathmini
๐ฑ Weka mikakati mipya
๐ค Karibu @softfinancetz tukuwezeshe kwa mkopo mpaka 5M
๐ Makumbusho stendi
๐ Tandika Stendi
๐ Usagara Hostel (Tanga)
#MpangoPesa
Softfinance tunawawezesha wanawake wajasiriamali wenye mitaji midogo kupata mikopo yenye masharti nafuu kupitia vikundi vyao.
Kama una kikundi karibu hii ni fursa kwako ๐ 0679 000 900
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
๐๐ถ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฎ ๐ฏ๐ผ๐ฟ๐ฎ ๐ต๐๐๐๐๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฒ๐ท๐ฎ ๐๐ฒ๐ป๐ด๐ถ!
Imarisha biashara yako kwa kuongeza mzigo na kuchukua oda mapema.
Wasiliana nasi leo upate mkopo wa hadi Tsh 2M na uhudumie wateja wako kwa uhakika.
#MpangoPesa
60% ya waajiriwa hawavutiwi na mazingira ya kazi ofisini kwao.
Hili hutokana na mtazamo, kutamani kufanikiwa haraka, kujilinganisha na kukosa molari ya kazi
Kazi ndio inayokupa heshima na kukufikisha unapotarajia
Fahamu njia 6 za kuongeza kipato bila kuacha kazi
#ElimuYaFedha
Karibu @Softfinancetz tuna mikopo miwili (2) ambayo dhamana yake ni mshahara wako tu
1. Mkopo wa dharura kwa wafanyakazi
2. Mwananchi ajira kwa wafanyakazi wenye kipato cha chini
๐ 0678 000 800 | 0679 000 900
#ElimuYaFedha#MpangoPesa
Anzisha biashara ya ziada.
Kwa mwajiriwa dhamana ya mshahara itakusaidia kupata mtaji wa kuwa na biashara unayoimudu.
Pia kuendeleza miradi yako midogo ikiwemo ufugaji, kilimo na kutoa huduma
#MpangoPesa
๐๐'๐ ๐๐๐ป๐ฒ ๐๐ค
Hongera kwa kufika nusu ya mwaka.
Bado una nafasi ya kufikia malengo yako. Ongeza juhudi @Softfinancetz tupo tayari kukuboost kwa mkopo kukidhi mahitaji yako.
Karibu ujipatie
โ Mkopo binafsi
โ Mkopo wa biashara
โ Mkopo wa dharura
#MpangoPesa
Usisubiri mpaka upate pesa ndiyo uanze. Fursa hazisubiri, zitakupita.
Karibu @Softfinance tukupatia mkopo wa 5M-10M
๐ Utaongeza bidhaa
๐จ Utanunua mashine
๐ฅค Utafanya branding package zako
๐ Utaboresha eneo la biashara
#MpangoPesa
Tanga Rahaa ๐
Baada ya kazi ya wiki nzima, team ya @softfinancetz Tanga hukutana kuchill na kubadilishana mawazo ya maisha.
Hili ni chimbo la michongo, hamasa na life experience ๐ช
Je, wewe hutoka na marafiki?
Share nasi story yako
#SoftFinance#MpangoPesa
Je, unajua?
Tafiti zinaonyesha kuwa upatikanaji wa mtaji ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazowakabili wajasiriamali wengi.
@softfinancetz kwa kutatua hili tunatoa mikopo yenye masharti nafuu hadi 10M inayosaidia kukuza biashara ndogo.
#MpangoPesa#ElimikaWikiendi
Furahi Day ๐ฅฐ
Kamilisha shughuli zako mapema leo halafu sogea @Softfinancetz, tuna jambo zuri kwako ๐ค
Pata mkopo kwa ajili ya:
๐ Ujenzi
๐ Ufugaji
๐๏ธ Biashara yako
Huduma rahisi na za haraka kukusaidia kufikia malengo yako โจ
๐ Makumbusho Stendi | Tandika stendi
Tunawatakia wateja wetu wote Eid Al Adha njema. ๐
Sikukuu iwe ya furaha na kudumisha:
โค๏ธ Upendo
๐๏ธ Amani
๐ค Kuwajali wahitaji
#EidAlAdha#SoftFinance
Unahitaji pesa kwa ajili ya biashara, ada, au mahitaji binafsi?
Karibu @SoftFinance upate mkopo wenye riba nafuu
โ Riba rafiki kwa kila mteja
โ Mkopo wetu ni ndani ya dakika 45
โ Fursa ya kukuza biashara yako
๐ Makumbusho stendi
โ 07:30 Asb - 11:00 jioni
#MpangoPesa