π¨ Klabu ya Yanga SC iko katika mazungumzo na kocha Omar Najhi π²π¦ mwenye uraia pacha Mzaliwa wa Morocco pia raia wa Uingereza π
Omar Najhi amewahi kuifundisha klabu ya Wydad Casablanca akiwa kama kocha msaidiz na kufanikiwa kutwa ubingwa wa Klabu bingwa barani Africa CAF Champi
πͺππ’ π‘π π¦ππ¦π.
Wananchiiiiiiiiiii ubingwa huu ambao tunakwenda kuutangaza wa mara 29 lazima tumalizane na makolo kwa kuwafumua.April 16 jipange mapema Wananchi tuna jambo letu.
Tunaongoza ligi Nbc,,Tunaongoza kundi Caf confederation cup,,na tupo robo fainali Asfc
π ππ‘ π’π π§ππ π ππ§ππ
Mchezaji wa Tanzania Dickson job amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa leo Kati ya Uganda na Tanzania.
#Tanzaniaπ΅β«π’πΉπΏ
Rais wa Young Africans SC Eng. Hersi Said amenunua tiketi 1500 kwa ajili ya mashabiki kwenda Uwanjani kuishangilia timu yetu ya Taifa, Taifa Stars itakapocheza na Uganda, siku ya Jumanne.
Hersi alinunua tiketi hizo kwenye kampeni
#timuyawananchi#daimambelenyumamwiko