@Obure1998 The aviator 2004
Gangs of new york 2002
The departed 2006
Blood diamond 2006
Body of lies 2008
Revolutionary road 2008
Shutter island 2010
J. Edgar 2011
The revenant 2015
Sijui umeziona zote? Cause if you did usingesema hayo?
@carstin_x@Obure1998 Isn't bobby the same?
Spiral into violence - raging bull, taxi driver
Decay of morality - irishman, goodfellas, casino, god father na ile ya tough guy to live with ambazo ni comedic kama meet the parents na silver linings playbook
His characters depict trans from good to evil.
@gabyconscious Tatizo tukipata tuanaanza show off mara Escalade imeandikwa GABY π€£ ukiagiza kinywaji mpaka kije na mataa baddies wote wa mjini wa kwetu mixer unataka Dunia ijue umepiga wakati mwamba wa kichina kavaa yebo na track na anapiga ngondi daily halafu ndani ana B 6 kwenye mfuko.
@MarekaMalili Na yeye anakuangalia umekaa hapo unajilipia bill mwenyewe wakati yeye bila kutoka na mzee hapo hawezi kanyaga halafu anakuangalia unavyowasha gari lako unasepa wakati yeye anaenda kupanda daladala.
LIFE.
@carstin_x@TravellerVoman@Chizzodrama@Wakazi@Obure1998 What?? Scorsese prefers a particular cast kwenye kazi zake so italian Mafia always included de niro but katika kazi zake za mwisho wale hawakuweza kufit kwenye character yake so the wolf of war street, killer of flower moon, departed, shutter island hawakufit it had 2 b him
Shutter island - traumatised father
The Revenant - vengeful father
Gangs of New york- Gangster
Dont look up - satire comedy
Wolf of wallstreet - scammer
Catch me if you can- scammer
Blood diamond - soldier of fortune
Departed - undercover cop
Titanic - romance
Romeo and juliet
Titles ulizotaja za De Niro ni kweli zote ni strong performances sana tu lakini nilitegemea utacompare na kucontrast between the two kwa sababu hata Di Caprio ana strong versatile characters na ni methodical actor mzuri sanaa.
Mfano:
Django unchained - cruel slave owner
Bobby kacheza kama Boxer kwenye Raging Bull 80
Kacheza kama Psychopath kwenye Cape Fear 93, Jack Brown 96, Taxi Driver 76
Kacheza kama Gangster kwenye Goodfellas 90, Casino 95, The Godfather 74, Irishman 94, The Untouchables 88, KOFM
@Wakazi Till i die ya cannabino was popular few years ago but wouldn't be as popular 20 years ago. Relativity ya audience and the rapper haikuwa na freedom sana ya bilingualism 20 years ago japo some would relate. All in all bilingualism inaongeza wigo yeah and tunapoelekea haitakwepeka.
@Wakazi Code mixing ni kutumia maneno kadhaa ya lugha nyingine katika sentensi in that concept almost kila rapper ni bilingual kwa kujua au kutokujua, code switching ni kutumia sentensi nzima kwa lugha moja na kufuatiwa na sentensi ya lugha nyingine ambao ni rappers wachache zaidi.
@Wakazi Lakini kuna wale ambao wanachana whole verse in a different language au whole song ambao ni wachache zaidi. Kwenye Rap industry ya early 2000's bilingual rap wasn't favoured sana kwa sababu audience couldn't relate but now inakuja kidogo cause aufuence imebadilika kiasi
@Wakazi Which wasn't popular back then kuitwa mboga saba ilikuwa ni diss not a praise. Nowadays ni something ya kujivunia so nahisi pia perception inategemea na age ya mtoa mada sababu akina "Okonkwo" wapo. Nakubali language inaongeza utam but kukubalika ni demographic iliyolengwa.
@Wakazi Bro i get you ila sijaelewa mkisema Bilingual mnamaanisha code switching au code mixing? Rappers wengi ambao are so called "Bilinguals" are code mixers not switchers on my opinion. Waswahili hatujawahi kuwa fans wa code switching kwasababu it was termed as wa kishua.