The ultimate trap turned backfire. He chained her up and thought he had locked away the Mother of Dragons forever just to steal her magic. He completely forgot that you don't need a sword when your kids are packing fire. Dracarys. 🔥🐉
After Jon Snow kills Daenerys, her dragon Drogon mourns her, then unleashes dragonfire on the Iron Throne melting it into a twisted wreck before carrying her body away.
If Drogon is smart enough to blame the throne (not Jon) for killing his mother… does that mean the real “Big Bad” of the entire series was never the Night King, Cersei, or even the gods but the Iron Throne itself as a curse that dooms anyone who sits on it?
Uwanja mpya wa Yanga unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 18 hadi 24, baada ya kutangazwa rasmi kwa kuanza kwa mradi huo katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam.
Akizungumza leo Ijumaa, Mei 15, 2026 katika hafla ya utiaji saini wa mradi huo, Rais wa Yanga, Hersi Said, amesema ujenzi wa uwanja huo utaongeza hadhi ya klabu hiyo na kuwa alama mpya ya maendeleo ya michezo nchini.
Hersi amesema mradi wa ujenzi wa uwanja huo utawafanya kumiliki asilimia 50 huku mwekezaji akimiliki kiasi hicho pia.
#mwananchiupdates
#tunawezeshataifa
Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando (Baba Levo) ameishauri serikali iwekeze katika Timu ya Taifa kwa kutafuta vijana wapya ili wasaidie katika mashindano ya AFCON 2027.