Tuna Odds 2 kila siku za uhakika kwenye group letu na tunashinda back 2 back,Sisi sio wale mawakala wa Kanji ambao ukipoteza wewe wao wanapata asilimia 🤣 Kwetu ukipoteza tunapoteza wote ndio maana tunaandaa mikeka kwa umakini mkubwa na tunashinda🔥
Nicheck Whatsapp 0744088549
-Kwamba Yanga walikataa Ofa ya Bilioni 2 kwa Mzize halafu wakakubali Biashara ya Milioni 450 kwa Aziz Ki?
Yaani hapa ni vipi unaweza kumueleza Mtu akakuelewa...? Hebu watueleze vizuri hii Wydad iliyomtaka Mzize ni Wydad ya wapi...🤣
"Siungi mkono kilichofanywa na wachezaji wangu.Kama timu tutapeana adhabu za ndani kwa kilichotokea. Lakini mtu kusema viongozi wa juu wanajua ni kosa maana tunaweza kumuandikia mtu barua athibishe,Tukipata nafasi ya kuzungumza katika Radio tuwe makini."
🎙Jemedari Said.
"...Mimi naamini kilichofanywa na wachezaji wa JKT Tanzania kuhusu matukio ya imani za kishirikina ‘Ulozi’ jana ni mpango wao kama timu kutoka juu, inawezekana akawa kocha au kiongozi mwingine wa timu. Hiki kitu kilipangwa kabisa kutokea juu.
🎙Hans Raphael
-Kocha Moine Chabaani wa Rs Berkane amekuwa akitumia upande wa kulia zaidi kufanya mashambulizi, anawatumia mlinzi wa kulia Haytam Manaout na winga Youssef Mehri.
Nafikiri Fadlu anapaswa kuingia na mpango maalumu wa ulinzi upande wa kulia kuzuia cross kwenye box
-Rs Berkane wamefuta taarifa yao ya kucheza mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Simba Amaan Stadium, nafikiri hii ni taarifa mbaya kwa baadhi ya watu ila ukweli ni kwamba hii game itapigwa Benjamin Mkapa...Save📌
"Yanga kama watamuuza Aziz Ki itabidi waingie sokoni kutafuta namba 10 nasio kumtegemea Chama, Hata Yanga wenyewe wana mpango wa kumnyoa kwasababu ni mvivu na hana kasi...Chama haachii pasi haraka, Makocha wote waliopita Yanga wamemkataa"
🎙Hans Raphael
"Yanga wameandika barua yenye page 167 kwenda mamlaka za juu zaidi wakiainisha makosa yaliyofanyika msimu huu ikiwemo goli la Pamba lililokataliwa,Tuzo ya Kocha bora aliyopewa Taoussi badala ya Gamondi nk"
🎙Hans Raphael
"Aisee yani kutoka 5,6,7 hadi matuta 😆 😂 😆 😂 😆 aisee nimelia sana .
Kwahiyo mnashangilia.
Bahati yenu kidogo muungane na mdogo mtu."
✍️Christina Mwagala
Msemaji wa Tabora United
-Haka Ka-dogo ingekuwa Yanga ndio ipo Durban, kama saizi kangekuwa kameshaandika makala 7 kusifia 🤣 Ila leo kametulia kanasubiri mnyama akosee kesho kaende CROWN FM kusema CHAMOU Uchochoro au CAMARA akatwe mshahara wa miezi mitatu 🤣
Dharau zimekuwa nyingi sana...Na siku zote MUNGU huwa anakaa upande wa wanyonge, hivyo naona Mashabiki wa Yanga wakitabasamu baada ya filimbi.
Watanzania kwenye Matumaini makubwa ndio huwa tunapoteza...Save hiyo 📌
"Stellenbosch ni timu hatari. Walimfunga Sundowns (Mamelodi), Pirates (Orlando) na walihangaika kidogo na Kaizer Chiefs katika misimu iliyopita. Wanajua kucheza dhidi ya timu kubwa.Hawajali kuwa na umiliki mkubwa wa mpira lakini kwa nafasi moja wanaweza kukuadhibu"
Fadlu Davids
-Mwaka 2022, Simba ilishikilia Bomba kwa dakika 60 dhidi ya Orlando Pirates ndio ikaruhusu bao 1-0 lililofungwa na Kwame Peprah baada ya Mugalu kuoneshwa Red Card dakika ya 58, Simba wakatokewa kwa penati.
Je, Safari hii unawaona Simba wakijilinda zaidi dhidi ya Stellenbosch?
Kennedy Musonda amefuta picha zote kwenye mtandao wa Instagram alizopost akiwa na jezi ya Yanga na taarifa zinaeleza kwamba Yanga wameshamtaarifu kuwa hawana nia ya kuendelea nae.
Mkataba wa Musonda na Yanga unaisha mwishoni mwa msimu huu na huenda akapishana na Jonathan Sowah.
Kabla hatujamlaumu Noble tusisahau kwamba Fountain Gate tangu mwaka huu uanze wamecheza mechi 11, wamefungwa 7, Wameshinda 2 na sare 2...Wamefungwa jumla ya mabao 19 huku wao wakifunga mabao manne tu.
Hivi tulitarajia wamzuie Yanga wakati wamefungwa 3-0 na Mashujaa?
-Unasemaje Ahoua mbovu afadhali Chama wakati Ahoua kafunga goli moja ambalo timu nzima ilishindwa kufunga ili iende robo fainali..? Kwanini tusimpongeze Ahoua kuitanguliza Simba mguu mmoja fainali? Simba alishikilia bomba dhidi ya Al Ahli Tripoli hata Bondeni anaweza kukaza tu.
Fadlu Davids na Steve Barker wamekutana mara moja kwenye ligi ya Afrika kusini, ilikua May 13,2023 na Fadlu akiwa na Maritzburg alishinda 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Steve Barker (yupo mpaka sasa) goli lilifungwa na Mfaransa Amadou Soukouna ambaye kwasasa anachezea Cape Town.
Stellenbosch hatua ya Makundi walifungwa Mabao 10 wakafunga 6, Walishinda game 3 wakafungwa 3, kati ya hizo game 3 walimfunga CD Lunda nje ndani,Wakaja kumfunga Stade Malien nyumbani 2-0 wakawa na alama 9.
Berkane alimpasua Mabao 8-1 (H&A) wakapasuka 2-0 ugenini dhidi ya Malien
Kama Simba wamepanda Mlima Everest sitoshangaa wakimtoa Stellenbosch kama yeye alivyomtoa Zamalek...kwahiyo punguzeni kuwasifia kuelekea mechi ijayo maana mmeshaanza kutisha watu tayari 🤣
Sidhani kama cross zitaisaidia Simba kutokana na vimo vya centre back wa Masry, Nafikiri utulivu kwenye zone 14 na Penetration pass kwa diamond style kuelekea kwenye box inaweza kuwafungua Masry...
Hapa Clatous Chama angekuwepo, Simba angeenda half time na 2-0 🙌