@kasesco_tz Hapo kazi ndogo hiyo million 3 yake si akae nayo atumie laki moja tu kuua mchezo kwa mama mkwe au baba mkwe watu wananjaa n hela nchi hii ataishi kwa Aman mpk anajifungua
@rajuQuire@MJUMBE5G Hakun njia ya kusave zaid ya screen record na usikirin sht hiyo video uliyo record hakikisha umewasha screen record kbl ya kufungua pcha au video uliyotumiwa