Ninachokijua leo WC inaanza but haya ndio yatatokea.
1.Bingwa wa world cup hawezi tokea timu ambayo haipo top 10 ranking.
2.Kubwa jinga moja litatolewa na timu ya Africa.
3. Kuna mtu atalia na kilio chake kitasikika ila hatakua na msaada tena.
Hizo nchi na zingine kama sri ranka basi utaitaji kibali maarumu hivyo sisi kipindi kile Barca ilipokelewa na T. henly pamoja na Bro wake xavi hiyo ilisababishwa na xavi kukaa nchini Iraq akiwa anakipiga na kwenye klabu yake baada ya kustaafu
Watu wana sahau kwamba mwaka juzi BARCA ikiwa inaenda pre season Xavi alishindwa kuingia USA kwa sababu hiyo hiyo kama ya huyo refa yani Electronic Travelling System hiyo ni kutokana na sheria ilioanzishwa na kuanza kutumiaka 1/3/2011. Means Irani,somalia, Iraq....๐