Nimerudia video mara kadhaa
Nimepata MIXED feelings
1. Maumivu, mtu Innocent kufanywa hivi ndani ya ardhi mama yake inatia HASIRA sana. Kuwa unaishi sehemu muda wowote watu wanaeza chukua haki yako ya KUISHI
2. Nimepata Faraja kuwa kuna watu wanapitia magumu ambayo binafsi nisingevumilia na wanakomaa kwenye michongo yao. Sasa wewe unadaiwa mil1. Unataka kujiua😄 Ama una viungo vyote bado huezi fanya chochote mkono uende kinywani kisa tu “hupewi support” ama sababu hazina kichwa wala mbupu.
All in All huu ni USHINDI mkubwa kaka
Nakuombea AFYA kwenye NYAMA, DAMU na MIFUPA Edgar🫡🫶🏾
#Tutakuwepo
KIBERENGE CHA SIKU 3. (April 13-15)
Sportybet🇹🇿:
6VBPTZ -Odds 100🔥
5SXYLY -Odds 20💰(Edited from 100)
ZA LEO LEO:
6X116P -Odds 60🔥
Wekeza then chill, kusubiria>💰😎
3,100 odds https://t.co/dn9bkUUyiv
21 odds https://t.co/Q7wx8yeQVh
8.7k odds https://t.co/HDAQ1FwpR1
22 odds https://t.co/DQLc2Bhy3D
Always use stake shield 🛡️ (flex bet)
Register an account via https://t.co/zNIDVi9VVx
Use welcome code ‘banks’ for weekly airdrops and bonuses
Get the iOS app via link https://t.co/BH533u52QL
Bet responsibly 🔞🔞
Mahakama imerejea.
Sauti ya High Court imepigwa.
Majaji wameingia na Mheshimiwa Lissu nae ameingia.
Waandishi wanapiga picha na kuchukua video kadhaa.
Majaji wanachungulia kule juu ya ukumbi wa Mahakama anaona hakuna watu na hapa chini pia hakuna watu. Wananong'onezana.
Na sisi wengine kimkakati tuko uvungu wa meza kama mapolisi tu.
Maana waliobaki humu ndani ni maaskari vipenyo kama 20 hivi na waandishi wa Habari mbalimbali na sisi tumo pia tunakomaa nao.
Majaji wanaandika bado.
Mhe. Lissu amesimama yuko na vibe amekula kombati na ana morali yakutosha sana.
Ngoja tuone nini kitaamliwa na Majaji kuhusu Polisi kuzuia watu kuingia Mahakamani
Ukumbi wa Mahakama bado haujajaa kuna watu 30 tu ndani lakin cha ajabu msaidizi wa Mafwele huyu George bado yupo getini kule anaendelea kuzuia watu wasiingie na sasa anawafukuza anawaambia waende nyumbani.
Kama unasoma ujumbe huu na upo hapo njee tafadhali usiondoke, Viongozi wetu wameenda kuzungumza na Msajili wa Mahakama ili watu waweze kuruhusiwa kuingia so msitawanyike.