Ndoto ya kambumbu kusakata iyo kwangu ilikuwa dili... /
Sikupata nachotaka nimepata nachostahili... /
Hii dunia ya wajuaji yenye mengi makelele.. /
Ambayo ukipanda mnazi eti ukae siti ya mbele.. /
@StaminaTz
Nitakukumbuka
Nafikiria anakamata bodaboda hajavaa helmet why?.... /
Wakati kwa michepuko havai kinga anapiga dry.... /
Pesa sio sabuni ya roho ni sabuni ya uchafu... /
Ingekuwa sabuni ya roho ingetakatisha mpaka wafu.... /
@StaminaTz
Safina 🔥🔥🔥
Kikubwa naomba Mungu
Aninusuru na maisha yamezidi kunichanganya... /
We tazama dunia
Wanakondoo na waumini kwenye safina ndo wanazama.. /
@StaminaTz
Safina
Wanaolia hawahesabiki....!
Ijapo hawakunipenda zamani
Wanafiki leo marafiki.... /
Hawana hata haya usoni
Wanasubiri mpaka nife...!
Ndo sifa zangu zije ziskike.... /
@StaminaTz
Paradiso 🔥🔥🔥
Nishapeleka nyota yangu kwa waganga mara ngapi?.... /
Ushanisimanga kwa maneno hadi ukachoka kiko wapi... /
Binadamu aliyekamilika haya nionyeshe yuko wapi.... /
Kama malipo duniani sema nikulipe shingapi... /
@StaminaTz
Paradiso 🔥🔥🔥
Brand new!! 🆕
Mkali wa Hip Hop @StaminaTz ameachia EP kali kwa jina #LoveBite na ina ngoma zifuatazo:
1. Stamina ft. @bananazorro - Ukizaliwa
2. Stamina ft. @lodymusic_ - Hayana Maana
3. Stamina ft. @MkwawaTz - Future Wife
Ipakue hapa: https://t.co/rsS9kAVlai
#MdundoTZ