There was a time niliacha phone kwa meza nikatoka nje, it was pinless..kumbe mzae alikua around. Mimi kurudi nikapata mzae ameichukua anawatch ngwati😂nilijifanya like nothing had happened na nikatoka nje na back door. From that day nauzanga mtura rongai sijawai rudi home🥹