Rapper kutoka nchini Marekani RickRoss ame-Share video akiwa na CEO wa Belaire @brettberishceo na kusema kwamba anampango wa K
kufanya Ngoma ( nyimbo ) na Wasanii wakubwa Barani Afrika Kama vile @diamondplatnumz, @stonebwoy N.K
Klabu ya Simba imetangaza msamaha kwa kiungo Mzambia, Clotous Chama ambaye aliadhibiwa Desemba 21, 2023 kutokana na utovu wa nidhamu.
Katika taarifa hiyo iliyotolewa leo na Afisa Mtendaji Mkuu, Imani Kajula ikieleza kumsamehe mchezaji Clotous Chama baada ya kuwa nje kwa siku 40.
Wachezaji wa timu ya taifa ya Angola wameahidiwa kupewa Simu aina ya Iphone 15 pamoja na zawadi nyingine endapo watafanikiwa kuifunga Nigeria kesho kwenye mchezo wa robo fainali AFCON.
Ugomvi ulio zuka kati ya kundi la wamasai na baadhi ya Askari wa kampuni binafsi ya ulinzi umeibuka Kiwengwa Beach Unguja, Zanzibar.
Wamasai wakiwa na fimbo zao huku Askari wakiwa na virungu wamepigana kisha Askari wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu na kundi la wamasai.
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Newcastle United baada ya mchezo kumalizika dhidi ya klabu ya Aston Villa alionekana akibadilishana jezi yake na shabiki wa klabu hiyo.
Shabiki huyo alifanya mabadilishano na Bruno Guimaräes ya kutoa chocolate na kupewa jezi.
Bondia wa Ngumi za kulipwa Tanzania Hassan Mwakinyo amepeleka Mkanda Kwa Rais wa Klabu ya Yanga SC Injinia Heris Said kama fadhira kukumbuka watu walio msaidia kwenye pambano lake.
Mkanda huo ni WBO alio upata baada ya kumtwanga Bondia kutoka nchini Ghana Elvis Ahorgah kwa KO.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Jaiva ameigiza sauti na mtindo wa kuongea wa Msanii mkongwe Hip-hop hapa nchini Chidbenz.
Hiyo ni baada ya kusambaa Kwa video ya Chidbenz akizungumza na kituo cha radio cha Mega fm akimkaangia simu Jaiva kuwa anaiga sauti yake.
Baada ya timu ya Taifa ya Senegal kuondoshwa kwenye hatua ya 16 Bora katika michuano ya Afcon2023, dhidi ya mwenyeji wa michuano hiyo Ivory Coast kwa mikwaju ya penalti 4 : 5.
Leo Klabu ya Singida Fountain Gate imemtambulisha Frank Petersen kutoka Denmark ambaye wanaelekea kuingia nae ushirikiano maalum wa kuwaongezea thamani wachezaji wazawa na kuwapa nafasi ya kucheza soka la kulipwa nje ya Tanzania.
Mshambuaji wa zamani wa timu ya taifa ya Panama, Luis ‘Matador’ Tejada, aliyeisaidia timu hiyo kufuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza mwaka 2018, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 41, Shirikisho la Soka la Panama (FEPAFUT) limethibitisha.
Kocha mkuu wa kikosi cha Arsenal Mikel Arteta, amethibitisha kuwa hana mpango wowote ule kwasasa wa kusajili wachezaji wapya katika kikosi chake.
"Hatukuwa na uwezo wa kuboresha kikosi chetu kwanjia ambayo tunadhani tunataka kuboresha".
Mshambuliaji wa Nigeria, Victor Osimhen amejikuta akichaguliwa mara kadhaa kufanyiwa vipimo ili kubaini kama anatumia dawa za kuongeza nguvu michezoni wakati wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’ zinazoendelea Ivory Coast.