kuna manzi mmoja nilikuwa naona ni high high quality,,jana nakuta kajipost Facebook kwenye group fulan anatafuta marafiki ni mpweke π€£π€£π€£πππππ
@ibuprofenerror sema kitambo,,jina sio geni,,,mle aggrey 2,,kulikuwa na wana wa usingizi kina cypher,,gwamakombe π€£π€£wasenge walikuwa wanasoma pcb,,pcm lkn wanalala kuliko HKL
@AnthonChaz chukua mtu aliyeishia form four akaenda chuo mfano certificate then diploma,,halafu chukua mtu alimaliza form four then advance then chuo.. wote wakalishe wafundishe kitu chenye technical terms nyingi za kingereza,,then angalia yupi atapata ugumu sana
shida ni kwamba tunatafuta hela kwenye mifumo ambayo sio rafiki kwa baadhi ya akili .kuna mwanamke hafundishiki jinsi mifumo mingi inavyoenda,,sasa wewe oa mwanamke halafu una pesa mara sijui ziko binance,,mara grey,,mara us PayPal etc
in short elimu pia ni muhimu kwa mwanamke