Nimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa,Taarifa ya msiba wa Babu yangu Mzee Nyanda lukanya uliotokea tareh 02/01/2026, Ni taarifa inayoumiza sana, Hukuwa tu Babu kwangu, Bali hata nilivyo Leo Kuna nguvu Yako kubwa sana,Pumzika kwa Amani Babu, Kuna siku yaja tutaonana ๐ญ
Niwatakie nyote Heri ya mwaka mpya 2026, ukawe mwaka wa matumaini Zaid na mafanikio kwa watanzania wote ukawe mwaka wa kurekebisha tulipoteleza mwaka Jana ili tusonge mbele zaidi,
Niwatakie nyote Heri ya mwaka mpya 2026, ikawe mwaka wa matumaini Zaid na mafanikio kwa watanzania wote, ukawe mwaka wa kurekebisha tulipoteleza mwaka Jana ili tusonge mbele zaidi