Kupigania haki na demokrasia kunahitaji kuheshimu na kupenda dhamira yako zaidi kuliko kuangalia watu unao wapigania, vinginevyo sababu za kukata tamaa zinaweza kuwa wazi. Imagine mtu anajivunia kwa ufasaha uhalifu ndani ya chama chake, halafu watu walioko mbele yake wanashangalia.
Ni muhimu sana kama jamii, kuwa wakati tunaongea kuhusu uhitaji wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni muhimu pia kuelewa tunahitaji mindset transformation ya hali ya juu, haswa kuanzia ktk level ya familia. Hakuna kinachoweza kujenga ustawi wa nchi bila kubadilisha fikra hasi na mbaya zilizoishika jamii na bahati mbaya zimekuwa normalized kama kanuni za kawaida za maisha. Tuna hatari kubwa sana.
@McinikaWaLamar 😂😂Ni kujifanya Wajuaji wakati maisha ya Mtaa hayahitaji ujuaji wa aina ile ,Mwalimu anawaza kufanikiwa haraka nje ya Mshahara kwa hiyo anajikuta anapigishwa pindi na Wahuni wa mtaa.