Siku kadhaa sasa nimekuwa katika mfungo wa sala na maombi , pia kuna maombi mazito nimefanyiwa na kupata majibu mengi sana kiroho
Na kwa sasa nasema:
Asante Mungu ๐๐ฝ
Asante maana ndani ya muda mfupi amenifunulia mengi niwajue watesi wengi hata wale wanaoniletea unafiki
Pili namshukuru mwenyezi Mungu maana nimefunuliwa vita nilivyopigwa gizani na ye amenipigania - hata sikujua
Mwisho kabisa namshukuru Mungu daima kwa wema wake na baraka alizotutayarisha na zitajidhihirisha muda si mrefu
Kwa kifupi kila tunapoomba kwa Mungu kuhusu Haki na hatma ya nchi tumalize kwa shukrani nyingi!
Tutashinda โ๐ฝ
Tuseme AMINA!