Habari ndugu. Natafta ajira ya udereva nipo Dar-es-salaam driving license D from VETA pia nina diploma katika kada ya ununuzi na ugavi. Kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia nitashukuru sanaa...
Hello dear
Natafuta mdada 18-25 (awe mwaminifu) wa kuuza duka la la vitu mbalimbali
Eg viatu
Pochi
Vyombo
Na vingne vingii
Duka lipo sinza mugabe so anayehitaji asiwe anaishi mbali sana na sinza
Mawasiliano 0657302969