🚨Mazda CX 5 A best option kwa Gari za Juu..
.
Kama unapenda gari za juu na unapenda utofauti basi Mazda CX5 is the best..
.
Ndani ya dakika moja nitakujuza kwanini hii ni best option kwa gari kama kina Harrier..
.
Kaa vizuri andaa juice na kitumbua chako gonga RT tuanza safari..
Amekutumia message WhatsApp alafu hata hujazisoma amefuta😂🙆🏿♂️
Wacha nikupe maujanja ya jinsi ya kuziona hata kama amefuta tayari.
Kwa Watumiaji wa Android pekee.
🚘 Muhimu Sana : kama dereva ukisikia kitu cha tofauti hasa mlio kwenye gari yako fanya uchunguzi kwanza...
.
Usiende kwa fundi direct kuna vitu vingine ni minor unaweza sort mwenyewe...
.
Jitahidi uwe na spanner number 10, plies na screw driver...
.
Gari sababu ya mitetemo 👇🏿