@kalage_jr Kalage Anaandika Kama Kaishia Darasa La Saba.!
Hiyo Statement Yako Ya Mwisho it's SITTING SILLY.!
Jifunze Kushikanisha Hoja Na Hoja Mzee.๐
@Sativa255 Kusema Ukweli Hata Mimi Ninekunja Sana Noti Kwenye Hizi STAKE HIGH SIKU YA TATU MFULULIZO.. Sina Mambo Mengi Nachukua Code Napest Nalala Zangu Kesho Nakuta Coma zimeongezeka.. keep Punch Bro๐ฅ