UCHAGUZI 29 OKTOBA. Ee Mungu Tunawaombea marehemu wetu raha ya milele. Tuwazike kwa heshima, kuwafariji wafiwa, kuuguza majeruhi, kusaidia waathirika. Tuombe toba kuondosha sifa za taifa letu kwa kutotambua HAKI ndiyo msingi wa yote na haina mbadala. Twakuomba utusikie
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kwa Umma wa Watanzania kuwa, kufuatia matukio ya vurugu, uporaji wa mali na uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29/10/2025 katika Majiji ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Mbeya, pia katika Mikoa ya Shinyanga, Geita, Songwe, Ruvuma, Mara,
It will take time kwakweli but pole kwa wote waliofiwa na walifikwa na matatizo kipindi hiki....mtu unaweza kuchanganyikiwa aisee poleni mlioko Tanzania