@Kevoh_254 Hakuna kitu unasema inasaidia usipotee Kwa convoy na kama Kuna gari Iko nyuma itajuwa mko pamoja na ikipata chance inawapita wote Hadi mwenye ako mbele aendelee na speed yake
Nimedeal na usd ikiwa Kwa account kama numbers lakini in cash karibu inichizishe nimeenda na msee anabadilisha ikuwe ksh Kwa wasomali bana noti kiasi hata bahasha haifuri zinatoa 500k