@Mr_AKAOfficialz@nyuki_malkia π€£π€£π€£We jamaa.ila sema kichwa cha chini kina nguvu sana ukiwa na pesaπuwe Huna pesa kinajifichaga kama karungu yeye
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000