@George_Ambangil kosa limeanz kw wao kutobadilsh mfumo baada ya kuzidiw kingine soweto walikos technical player wa kuamua mech ichezwe vip hayo n maon yangu tuh lkn ππΎ
@Day_Waka45 Yey mwenyew kashasem alikuw mdhaifun n sio ktk kiwango bora ktk pambano lake n jambo ambalo n kwel alizidiw kweny round zote n kingine ch kuongezea mwakiny anakaa muda mrefu san bila mapambano y bondia huw anahitaj mapamban ili kuw fit na kuongez uwez wake ambach jama hafany hivy