Unamuangalia Frenkie De Jong anautaka na kupokea mpira eneo lolote lile na anatoka bila shida then unaangalia kwenye timu yako nani ni holding midfielder 😀😀😀smh
Hakufuata utaratibu ticket ametoa wapi?? Hapo umeendekez usimba na Uyanga ndugu. Jana yule bumunda wa Ghana amekuja na ticket ya vvvp tungeweza kumtoa ila tulimsitiiri. Huyo Okinyo ni mtu makini sana basi tu ushabiki umefanya mpoteze weledi weledi. By the way weled gan mnao timu inavunja vitu na kufanya ulozi hadharani
Samahani kama nitakuwa nje ya mada ila sasa nataka kusema, Kesho tukishinda tunafikisha alama 39 na kushika nafasi ya 5. Tunaweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufika nafasi hiyo. Kumbuka timu 4 bora AFRIKA zinashiriki klabu bingwa ya dunia. Sasa nisimalize utamu kesho tujaze uwanja tukaweke historia hii wananchi.
Kama unahitaji gari nzuri nipigie +255 757 661 073 @TroniMotors tuongee vizuri