Kama ningekua sinnui KOZI Udemy na kwingine,eBOOKS na kuSubscribe to Newsletters leo ningekua bado nasugua benchi JNIA nangoja nilipwe Salo kisoda
Kuna muda wanangu walikua wanannua Kozi za wazungu wananisaidia Logins naishi nazo.
Kuna vitu huwezi pata Google mkali amini🫵🏾
❯ Platforms za betting, trading, freelancing, e-commerce, nyingi ama karibia zote zinatumia crypto
Uzuri ni kwamba kujifunza kutumia crypto ni BURE
❯ Platform kama https://t.co/8bVfW75xMZ ni Free kabisa
Join, kamua, practise anza
🫵🏾
Sina shida kabisa na kulipa kodi
Shida yangu ni wale ambao tunawaona mtaa wanatanua majumba, magari, mapisi na Vito vya thamani kwa hii kodi yetu halafu barabara ya kuingia kwangu ina Mashimo
Hapo bandugu ndo tutakosana
Hii Cake yetu wote buana. Nalipa Tax nipe DVT
Vitu za muhimu kujua kutumia kama ONLINE HUSTLER
✍ Proxy
✍ Payment Gateways(e-wallets, crypto wallets)
✍ Productivity tools(notion,airtable, Chatgpt)
✍ Basic computer skills
✍ Social media
✍ Community forums
✍ PESA
(NB:sio lazima ujue zote)
Ongeza👇🏾
Kesho InshaAllah ama leo nikipata LiMbowe nitaangusha Thread ya moto
Kama kawaida ni kutumia hizi Tech & digital products/platforms kupata Madusko
… Kuna watu wanapenda Technology wana Passion na Tech , kuna Mimi napenda Technology inaenipa Pesa😹🫵🏾🫵🏾
Kwa miaka 5 sasa naweza sema walau nimeweza kupata kipato ONLINE TZS 0 hadi 3M (inategemea na Mwezi)
Vitu 10 nimejifunza kwenye kutafuta Maokoto Online
Moja kati ya kitu naombea ni Vijana wa Tech kufata mkumbo wa kutaka kuwe na Muwakilishi wao wanaemtaka kwenye Nafasi “XX” serikalini
-Wasanii walidhani itawasaidia hii ila wametoswa, wafanyabiashara hadi walemavu yaani kila mtu akipata madaraka anajipambania mwenyewe
❍Shida sio kusoma
➙Shida kuibadili Elimu kuwa Pesa
❍Shida sio Kuoa
➙Shida ni kuishi nae
❍Shida sio kukamua Tutorials
➙Shida ni Kuzifanyia kazi
❍Shida sio kununua Funded
➙Shida ni Kupass
Vijana wadogo sana wakitanzania wakitema madini zaidi kuhusu teknolojia 👏🙌 alafu kuna jitu limekaa mpka sasa haelewi hata teknolojia ni nini ??
Bora urudi kijijini ukalimeee 😅
Kama Upo Interested na MWANAMKE Usichukue Namba yake—Badala yake Mpe Namba yako Akikutafuta Una 90% za Kufanikiwa na Asipokutafuta Utakuwa Umeokoa 100% ya Muda wako na Pesa zako!
“Neil Strauss”